JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Oohhh....alikuwa chiq....
Hapana aisee huo uchoro...pre ya miezi 6 sijawahi sikia....
Save the day....usije sema hukupewa notice...book na ticket anga zikifunguliwa...[emoji6][emoji6]
Kweli nilichanganya madesa. Kuna mtu jana hapa alikuwa anatimiza miaka kadhaa. Nilipokuona kule nikamcompare na wewe. Sorry sana.

Ila sio mbaya tukipiga pre kama haijapita.
 
Back
Top Bottom