Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Ijumaa njema Anne!Nafunga lindo
Ijumaa njema Anne!Nafunga lindo
[emoji23][emoji23][emoji23]Nafunga lindo
Same here...Nina kama masaa ma2 nifike Friday. Enjoy weekend yako. See you later.
Unabonga vipi na mke wa mtu ? Unanicheleshea ujue ? Napiga miguu yote ujue ?Nakuletea mkuu. Ngoja nibonge kidogo na mlimbwende Rowin kabla hajakwenda kwenye kipute cha ngwe ya 2.
Unakaa ndani kama mwali. Sisi tuliozoea misele kushinda ndani ni kama gereza vile.Mbaya imeshazoeleka....mpaka kutoka unaogopa....acha tupate vitamin D sasa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430][emoji1430][emoji1430]Nje ya mstari....uko.
Usiku na tupumzike...mchana tufanye kazi....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndiyo unaamka nini ? Walinzi wazembe wazembe utawajua, unaonekana umekurupuka usingizini ukajiona umelinda mwenyewe, kumbe ulilala kazini.Nafunga lindo
Pamoja sana.Same here...
Have a great one too!
[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sawa mkuu kaliendeleze libenekeUnabonga vipi na mke wa mtu ? Unanicheleshea ujue ? Napiga miguu yote ujue ?
Huyo unayetaka kubonga nae ndiyo muhusika sasa, acha nile vitu vizuri, vitu vitamu. Sisi ndiyo wakubwa wenyewe tunao faidi.[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sawa mkuu kaliendeleze libeneke
Sina pingamizi mkuu. Ila kumbuka kutesa kuna zamuzamu.Huyo unayetaka kubonga nae ndiyo muhusika sasa, acha nile vitu vizuri, vitu vitamu. Sisi ndiyo wakubwa wenyewe tunao faidi.
Subiri zamu yako, ila siyo kwa huu usingizi wangu.Sina pingamizi mkuu. Ila kumbuka kutesa kuna zamuzamu.
Sawa mkuu ila ukifika stage ya picha hapo nishtue.Subiri zamu yako, ila siyo kwa huu usingizi wangu.
Haihusiki. Tuna dawa maalumu za uzeeni.
Chabo hata kwenye tundu ya funguo. Hapo vp?Haihusiki. Tuna dawa maalumu za uzeeni.
Uwe na ijumaa njema pia sisy[emoji120]Ijumaa njema Anne!
Ndiyo..Ndiyo unaamka nini ? Walinzi wazembe wazembe utawajua, unaonekana umekurupuka usingizini ukajiona umelinda mwenyewe, kumbe ulilala kazini.
Acha tufanye kazi siai ambao tuko serious na kazi yetu.