fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,874
- 24,482
Siku sita?!Nilipokwenda jeshini tulikaa siku 6 bila kulala. Ntakutumia ile picha uone jinsi jicho lilivyokuwa nyanya.
Ulitembelea kuruta? [emoji16][emoji16]
Siku sita?!Nilipokwenda jeshini tulikaa siku 6 bila kulala. Ntakutumia ile picha uone jinsi jicho lilivyokuwa nyanya.
We mnange mkuu wako ila nidhamu ya senior wako iko palepale. Kwani wadhani Hakuna mawaziri wanaomnanga rais?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vijembe moja kwa moja hiyo
Hiyo ilikuwa kuruta mzee. UsipimeSiku sita?!
Ulitembelea kuruta? [emoji16][emoji16]
Ulikesha siku sita au six weeks? 🤔Hiyo ilikuwa kuruta mzee. Usipime
Lindoni hatupiti bali hukaa kuimarisha ulinzi so rudi hapa.Napita
Siku 6 mzee bila usingizi. Hizo nyingine kidogo afadhali unaweza sinzia huku unakulaUlikesha siku sita au six weeks? [emoji848]
Haha basi we ulikuwa Mujibu wa sheria si ndivyo?Siku 6 mzee bila usingizi. Hizo nyingine kidogo afadhali unaweza sinzia huku unakula
Hapana mzee. Nipo kamili. Hizo siku 6 huwa sizisahauHaha basi we ulikuwa Mujibu wa sheria si ndivyo?
Kumeshakucha mkuu nachungulia usalama tuuL
Lindoni hatupiti bali hukaa kuimarisha ulinzi so rudi hapa.
Tusomane mike, intake ipi?Hapana mzee. Nipo kamili. Hizo siku 6 huwa sizisahau
Sawa vumilia, detail ya mwisho hii haina mbwembwe nyingiKumeshakucha mkuu nachungulia usalama tuu
Mzee niliacha hizo mambo. Kitambo hiyooo! Sasa hivi nipo kitaaTusomane mike, intake ipi?
Imeisha hiyo baba. Tuangalie kitaa kinasemajeMzee niliacha hizo mambo. Kitambo hiyooo! Sasa hivi nipo kitaa
Napambana mzee. Sijuti kutoka nduki.Imeisha hiyo baba. Tuangalie kitaa kinasemaje
Maisha popote mkuu, ni swala la kuchanganya karata vizuri tuNapambana mzee. Sijuti kutoka nduki.
Ni kweli mkuu. Vp wewe bado unakipiga pande hizo au ulisepa?Maisha popote mkuu, ni swala la kuchanganya karata vizuri tu
Haha November India Papa Oscar.Ni kweli mkuu. Vp wewe bado unakipiga pande hizo au ulisepa?
Hahah Sawa mkuu. Nimekusoma vyema. Kila la kheri katika safari yako.Haha November India Papa Oscar.