Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Kwamba ni mpaka kesho mchana?Hapo kulala mpaka mida ya lunch [emoji23][emoji23]
Kwamba ni mpaka kesho mchana?Hapo kulala mpaka mida ya lunch [emoji23][emoji23]
Yap mpaka saa 5 asubuhi [emoji4]Kwamba ni mpaka kesho mchana?
Duh! Ntajitahidi. Maana yatima hadekiYap mpaka saa 5 asubuhi [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] Huu msemo kuna costa ndio umeandikwa [emoji91]Duh! Ntajitahidi. Maana yatima hadeki
Umeujuliana kwenye coster. Wahenga tunaujua vizuri sana.[emoji23][emoji23][emoji23] Huu msemo kuna costa ndio umeandikwa [emoji91]
Sana kuna lingine limeandikwa boss anuniwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeujuliana kwenye coster. Wahenga tunaujua vizuri sana.
Ila kuna magari yana maandishi ya kuchekesha sana.
Hapa ndio pana unafiki wa waswahili. Utakuta jamaa wanamnanga mkuu wao. Akipita utasikia wote wana simama na kumsalimia kwa heshima huku wanatoa tabasamu za uongo.Sana kuna lingine limeandikwa boss anuniwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vijembe moja kwa moja hiyoHapa ndio pana unafiki wa waswahili. Utakuta jamaa wanamnanga mkuu wao. Akipita utasikia wote wana simama na kumsalimia kwa heshima huku wanatoa tabasamu za uongo.
Hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vijembe moja kwa moja hiyo
Leo nakimbia mapema hali ishakuwa tete Gomba limekataa kufanya kazi.Hatari sana
Hapa nami nipo break, nataka nikaliamshe tena.Leo nakimbia mapema hali ishakuwa tete Gomba limekataa kufanya kazi.
Jana nimelala masaa machache sana.Hapa nami nipo break, nataka nikaliamshe tena.
Nilipokwenda jeshini tulikaa siku 6 bila kulala. Ntakutumia ile picha uone jinsi jicho lilivyokuwa nyanya.Jana nimelala masaa machache sana.
Tuma faster nikiamka nikute ineshafika [emoji13][emoji13]Nilipokwenda jeshini tulikaa siku 6 bila kulala. Ntakutumia ile picha uonye jinsi jicho lilivyokuwa nyanya.
IseeTuma faster nikiamka nikute ineshafika [emoji13][emoji13]
Hujambo regiHabar zenu umu
Nimehama post[emoji16]Walinzi mnafeli, wale wa lindo la kibaha kwa Mathias ,nakagua lindo hapa