JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mapenzi ya kweli ni kama jini Wachache ndo wameona muache anaokuona unanini
Kusoma ujanja kama wanadada wa vyuoni kusoma mchana wanafanya uchangudoa jioni kisha wana-act kama virgin in the morning
Ili picha uipate ficha flash wasiione
Wengi hawa graduate na A wana graduate na Aids when graduate utawajuaje kwamba wanahitaji confess ilimladi wasexy na washikaji wasi wacheke waki-test blood wanawapa stresser uponyaji ni hadi aki-bless God..., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Fid Q ft maua sama - ulimi mbili [emoji91]
 
Uliemchekesha unamliza na anajuta umemfirithi zaid ya gear reverse inavomaliza mafuta
Wazamani siwezi mwacha na Mpya niliyempata yupo kwetu
Mjanja hawezi ingia dukani kununua viatu akiwa peku...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Fid Q ft maua sama - ulimi mbili
 
Kila msichana anataka bwana mwenye demu Aah inaonekana wanasaka bwana mwenye game
Mnachana mnachoma picha mna-change namba za phone Inakuumiza kichwa mapenzi yapo moyoni
Muda unapita unamuenzi hadi ndotoni unagundua yule mshenzi hakupendi lakini hamkomi
Akikutega ukijiweka haukohoi unakesha tu unacheka ulishatekwa homeboy weka yeye atoe asiya enzi na usimboe
Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wanaya-enjoy

Fid Q ft maua sama - ulimi mbili [emoji442][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] this song [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Manane
20200619_001420.jpg
 
Back
Top Bottom