JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Unamuita Queen na una passion ya kumuona
Simu yake ina pin na mapassword kila kona Na majina kama Cadabra kumbe ni ibra yaani Roma
Na aliyem-save kama baba ndo yule hujiiba nae kinoma
Ukienda kasi utaona love iko fasta kiasi kwamba your first lover hawez kuwa your last
Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mashiko anakuomba nadusko anaoga batonga anagonga vitu
Unamuita darling my wife mamyto unapata habari za wanafki kuna warafi wanamla hadi jicho...

Fid Q ft maua sama - ulimi mbili [emoji442] [emoji91][emoji91]
 
Jana ulitisha
 
Unaemtaka haumpati utampata wapi Anaekutaka haumtaki haumpi nafasi
Akikutega ukijiweka haukohoi utakesha tu unacheka ulishatekwa home boy
Weka yeye atoe Asiya enzi na usimboe
Wengi wanajua mapenzi lakini wachache wanaya-enjoy.....

Fid Q ft maua - ulimi mbili [emoji442] [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom