Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Hakuna shida akiremba tutafanya tunavyofanyaga tu.Sema nikikipata si unajua sibanagi utakipata chap mwenyewe anariiinga
Hakuna shida akiremba tutafanya tunavyofanyaga tu.Sema nikikipata si unajua sibanagi utakipata chap mwenyewe anariiinga
Nitajaribu mkuu.Nisaidie mzee
[emoji23]oh yes kwakoHii na underdog ndio nyimbo kali kwangu kutoka kwenye Playlist yako yote ya leo mpaka sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Poa hommie uwe na usiku mwema.Nitajaribu mkuu.
Wacha nikimbie maana kila napofungua nakutana na Tanzia tu wacha nilale, usiku mwema.
Sent using [emoji106]
We si unazinguawe ndio umejambisha sasa [emoji41]
Huwa nakuta nyayo zake tu, sijawahi kuonana naye uso kws uso lindoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani umuonagi akija humu!
Unasikiliza waprotorico hata siwaelewagi mm.[emoji23]oh yes kwako
Kwangu zote ni hit
Hapa ss unaongea partner mwambie simiss akajinyongeHakuna shida akiremba tutafanya tunavyofanyaga tu.
Latins nawapenda sana wanaimba vizuriUnasikiliza waprotorico hata siwaelewagi mm.
Utamuona tu siku ukikutana naye utampa hiyo zawadi yako sasa unayotaka kumpa [emoji23][emoji23]Huwa nakuta nyayo zake tu, sijawahi kuonana naye uso kws uso lindoni.
"Playing a villain on TV was funny but being one in real life is even better" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua ni movie gani hiyo?Hapa ss unaongea partner mwambie simiss akajinyonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ss unaongea partner mwambie simiss akajinyonge
Hebu nenda ukalale😀You’re awfully cute, but unfortunately for you, you’re made of meat
Huko mm sikuwezi kabisa huwa naona ni kelele tu kuna mikwaju kama migiente, na nyingine hivi ninazo kama 2 tu wakina ozuna, maluma.Latins nawapenda sana wanaimba vizuri
Ila indians wanaoimba soul nawapenda zaidi
Shwari aisee, namshukuru Mungu.Vp uko gud champ?
Ni kitu kizuri kama tunaendelea kuwa wazima kila siku.Shwari aisee, namshukuru Mungu.
Despicable me3Playing a villain on TV was funny but being one in real life is even better [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua ni movie gani hiyo?
[emoji23]naendaHebu nenda ukalale[emoji3]
Nitamfungashia mapapai...Utamuona tu siku ukikutana naye utampa hiyo zawadi yako sasa unayotaka kumpa [emoji23][emoji23]
Kesho njoo buguruni nikupe vitu vyako umepatia jibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Despicable me3