Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,580
- 5,795
Mtu wa pili unamuulizia ndani ya usiku mmoja.
Sent using [emoji106]
Mtu wa pili unamuulizia ndani ya usiku mmoja.
Simpati mzee kaniweka ignore [emoji22]Duuuh PM haumpati?
Sent using [emoji106]
Mkuu, kweli unalitendea haki lindo😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Changamka sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulienda wapi mzee wangu nimekusaka sana.Mkuu, kweli unalitendea haki lindo[emoji3][emoji3]
Kila nikija hapa nakukuta.
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Changamka sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuaminia mzee wangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila nikipiga chord, wapi nimeambulia kupanga percussion tu..ila Mdogomdogo, hadi mwakani muda kama huu nitakuwa nishaanza kuwa kontaa.
Aise pole sana mkuu.Simpati mzee kaniweka ignore [emoji22]
Wapi?Rowin njoo
Aminia, naona saa saba imeshafika na lindo ndo linazidi kupendeza...mtihani huu😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuaminia mzee wangu.