Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,571
Tungeyala halafu tunasubiri matokeo kati ya vitamin c na corona nani atamuwahi mwrnzake. Vitamin c akimuwahi covid una bahati, ila corona ikimuwahi vitamin c, my friend wapigie simu kabisa wale wajuba angalau uinjoi kurushwarushwa ukidedi. 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] what if ndio lingekuwa na vitamins C alafu ndio tunaambiwa lina corona!