MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,593
- 3,447
Godzilla aliteseka na hiyo beat acha tu inakimbia sana alafu inataka pumzi sana.Pumzi ipo ya kutosha kabisa...
[emoji23][emoji23][emoji23]dahMpaka karantini inaishia shavu litakuwa kwenye bega mzee.
Nikuchinje sio ?Qibla sio
Karantini itakupenda sana kwa hizo ratiba.[emoji23][emoji23][emoji23]dah
Ni muda wa kula hata visivyolikaYani tuliozoea mikwaju tunapata tabu saaana
Anamfahamu na bro ake
Yes kondoo ya kafaraNikuchinje sio ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakua mnyonge sanaNi muda wa kula hata visivyolika
Toka nje ukaoge sasa!Mvua kama mvua [emoji847]
Nmegeuza sarafu upande wa2 mambo yanaenda vizuri kabisaNi muda wa kula hata visivyolika
😀 😀 😀 😀Godzilla aliteseka na hiyo beat acha tu inakimbia sana alafu inataka pumzi sana.
Woiii na hii baridiToka nje ukaoge sasa!
Nitakupa beat za uno fresh tu mbona utaziweza.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilitaka nijizolee uzoefu wa mara ya kwanza, kuchana haraka kuwa siwezi sababu ya kigugumizi..saizi yangu ni kama zile za dizasta vina...ukinikimbiza tu hapo ushaniburuga mazima...