Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Hate me now instrumental ya Nas itakufaa?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nalisubiri nidunde nalo kama bishoo na raba...
Hate me now instrumental ya Nas itakufaa?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nalisubiri nidunde nalo kama bishoo na raba...
Gud tu huku, pamoja na karantini hii lakini bado unalala mapema?Kweli mzee mwenzangu, nmekuwa kilaza siku hizi,usingz unanizidia..
Kwema pande hizo?
Ww sikuelew bwana huku ndo wapiNifate huku.
Hahah aisee... Mizigo mikali siku hizi imekuwa nadraa sanaKitambo mpaka nmeanza trmena mm kujijazia shehena
Sema si unajua mizigo mikali bado
Ndio mzee [emoji2][emoji2] au nafeli mzeeGud tu huku, pamoja na karantini hii lakini bado unalala mapema?
Huyo mjuba sijamfutaliaga sana so ma dundo yake mengi siyapati.Hate me now instrumental ya Nas itakufaa?
Napoelekea.Ww sikuelew bwana huku ndo wapi
Mpaka karantini inaishia shavu litakuwa kwenye bega mzee.Ndio mzee [emoji2][emoji2] au nafeli mzee
Yani tuliozoea mikwaju tunapata tabu saaanaHahah aisee... Mizigo mikali siku hizi imekuwa nadraa sana
Unapumzi nikupe I'll be missing you ya puffy daddy Au good morning.Huyo mjuba sijamfutaliaga sana so ma dundo yake mengi siyapati.
Qibla sioNapoelekea.
mm nikajua upo naye [emoji15]Aise sifahamu mkuu na nilipanga kukuuliza pia ni kitambo kidogo sijamsoma hii mitaa.
Sent using [emoji106]
Utafika hata saa 8 bila kutaka.Halafu leo nilipanga kutoroka lindo ila naona nazidi kunogewa tu aisee... ikifika saa saba nawatoroka, mtanisainia kwenye kitabu cha mahudhurio huko...
Hapana mkuu ila wacha nimtafute nitakupa feedback.mm nikajua upo naye [emoji15]
Mtafute huyo kijana na mdai pesa nyingi sana ukimpata niambie.Hapana mkuu ila wacha nimtafute nitakupa feedback.
Sent using [emoji106]
Pumzi ipo ya kutosha kabisa...Unapumzi nikupe I'll be missing you ya puffy daddy Au good morning.