JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Eyooo eyooo
Mkononi nina rungu pia kurunzi/
Nakesha night na wana kuweka ulinzi/
Hapa hakuna habari za korona kwa mbuzi/
Huku ni full story na bakuli la mchuzi/
Kuna wana kibao, kama andakava na villain/
Ukitaka like, unazipata kama million/
Halafu pembeni yupo goddess/
Lindo ni tamu bwana, Eyo jah bless/
We mzee mbona unapiga a capella Ngoja nikupe beat.
 
Back
Top Bottom