HahahahaMimi ndiyo naifuata ivyo[emoji12]
Tupo mkuuNaona mmenda kula daku...
Very good! Niko hapa tu nasali rosary Leo hadi pakuche kuna mbaya wangu nataka nilipiwe kisasiTupo mkuu
Mpwa hili ni kaburi aiseee, chumba cha Giza? Kwa 15,000?? Au umekosea pahala?Wakuu wazee wa connection nahitaji chumba cha cha kupanga cha15000 kwa mwezi kiwe cha giza maeneo ya posta Na masaki wazee sio maeneo ya mbagala,buza ,au tandale kwa tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app