Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Nahisi nasubiriaso unaisubiria daku au ushakula tayari?
Nahisi nasubiriaso unaisubiria daku au ushakula tayari?
Siku hizi wanapima mpaka double kik yaani wabongo kwa kurahisisha mambo😂😂😂 😂 😂 😂 😂
Wao wanaziita bando...utasikia niunge bando la jero...😀😀😀
Kwa hiyo mkuu kuna maeneo ugoro ni ghali..Nilichogundua utumiaji wa aina flani ya kileo Inategemea na mazingira yanayokuzunguka na upatikanaji wa kileo husika.
Banana za jero jero alcohol 10%Sema ndo vile starehe wanazomudu ndo hizo sa watafanyeje
Akikosa beer hata banana wanakunywa
Aisee..wewe mwenzio natakiwa 12 niwe machoBado dk 5 tu subiria mpaka na nusu basi.
Unahisi?🤔🤗Nahisi nasubiria
Aise karibu sana mkuu.Moro kichaka changu hicho
[emoji15] Ooh kama ni hivyo lala tu saa 8 hii.Aisee..wewe mwenzio natakiwa 12 niwe macho
[emoji23][emoji23][emoji23]wanabalaa wale unakuta kijana mzuri kachoka kama nn sijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wao wanaziita bando...utasikia niunge bando la jero...[emoji3][emoji3][emoji3]
This is too much, wapi huko?Banana za jero jero alcohol 10%
Sent using [emoji106]
Shukran mkuu...roho yangu imetulia sasa.[emoji1537][emoji1616]
Kuna kooona mkuuu, bado mapema sana kurudisha namba na sijatimiza lengo hata moja wacha nijizuie kwa muda tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Siumesema umemiss mkusanyiko ww jiachie humo.
😀😀Unahisi?🤔🤗
Hv ile banana wakinywa si hua wanajisaidia hapohapo wengineBanana za jero jero alcohol 10%
Sent using [emoji106]
SawaAise karibu sana mkuu.
Sent using [emoji106]
Sio ghali bali wanausikia tu kwenye stories. Haupatikani maana hakuna watumiaji maeneo hayoKwa hiyo mkuu kuna maeneo ugoro ni ghali..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nimuamshe shayo nigonge moja
Huu mwaka watu watakao timiza malengo ni wachache sana.Kuna kooona mkuuu, bado mapema sana kurudisha namba na sijatimiza lengo hata moja wacha nijizuie kwa muda tu.
Sent using [emoji106]
Yeah najitahidi nilale..la sivyo nitasinzia safari nzima[emoji15] Ooh kama ni hivyo lala tu saa 8 hii.