Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Mkuu umenipa hamasa sana, nimejarihu na when I was your man ya bruno mars naona kama napita mule mule kama pro flani vile.ππππMkuu hata ukiwa na stresses zako zote zinapotea. Mziki unaongea, mziki unaponya
Safi sana keep it up. Mi nazipiga hizo wawezasema nilikuwa sehemu ya utengenezaji wa hizo nyimbo. Na hii imekuwa sehemu muhimu sana ya kumburidisha mpenzi wangu akija kwangu.Mkuu umenipa hamasa sana, nimejarihu na when I was your man ya bruno mars naona kama napita mule mule kama pro flani vile.ππππ
Shukrani sana mkuu...
Shukran mkuu, ngoja ntakuwa najipiga btush kila nikipata nafasi, naamini siku za usoni nitaweza kumudu vyema kabisa.Safi sana keep it up. Mi nazipiga hizo wawezasema nilikuwa sehemu ya utengenezaji wa hizo nyimbo. Na hii imekuwa sehemu muhimu sana ya kumburidisha mpenzi wangu akija kwangu.
Anza na Code C au F utakimaster mapema sanaShukran mkuu, ngoja ntakuwa najipiga btush kila nikipata nafasi, naamini siku za usoni nitaweza kumudu vyema kabisa.
Kuzielewa hizo code kunaniumiza kichwa balaa... ninaweza kuplay kipande fulani kikawa kikasikika vizuri tu lakini siwezi kujua hapo nimepita kwenye code gani.Anza na Code C au F utakimaster mapema sana
Hahaha unahitaji mwalimu, tungekuwa karibu ningekupa muongozo. Ila Hakuna kinachoshindikana, kuna material nitakutumia nadhani yatakusaidiaKuzielewa hizo code kunaniumiza kichwa balaa... ninaweza kuplay kipande fulani kikawa kikasikika vizuri tu lakini siwezi kujua hapo nimepita kwenye code gani.
Nina pdf kadhaa, video tutorials lakini bado nashindwa kuelewa vizuri, yaani nikisema nizifuate kanuni naona kama ndo nazidi kupote nakuwa na play vitu havieleweki.
Nikipita njia zangu za uchochoroni naweza hata sample beat za watu wengine, sasa sijui nakwamba wapiπππππ
Shukran mkuu, nimekua na historia kujifundisha vitu vingi peke yangu na mambo yanaenda fresh ila hapa nimekwaa kisiki aisee. Hope hizo materials zitanisaidia nikitia juhudi pia.Hahaha unahitaji mwalimu, tungekuwa karibu ningekupa muongozo. Ila Hakuna kinachoshindikana, kuna material nitakutumia nadhani yatakusaidia
Kuna tatizo mkuu?Sijui kwanini ulichaguliwa kuwa miongoni mwa walinzi!!
Hahaha hakuna tatizo hiyo sentensi ilitoka kutokana na incidence iliyokuwa ikiendelea muda ule. Usijari mkuu chilluxKuna tatizo mkuu?
Sent using [emoji106]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahaha hakuna tatizo hiyo sentensi ilitoka kutokana na incidence iliyokuwa ikiendelea muda ule. Usijari mkuu chillux