JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Matokeo ya darasa la saba miaka ile yalikua yanafurahisha sana unauliza tu wilaya yako wamefaulu wangapi ukisikia watatu au wanne aaah basi kifo cha wengi sherehe wazazi hawasumbuki
Nakumbuka matokeo yalikuwa yanabandikwa kwenye ofis moja ya serikali kwa wilaya nzima.
 
Back
Top Bottom