Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,726
- 209,018
Huko kuna giza mnoAu naongopa. Njoo umchukulie mwenzako Zawadi.
Huko kuna giza mnoAu naongopa. Njoo umchukulie mwenzako Zawadi.
Siraji na Kandili zote ninazo kuna mwanga hafifu wenye kuvutia ajabu,na ajabu ya mwanga huo hata ikianguka pini unaiona.Huko kuna giza mno
😀😀😀 kufua usiku huu? We endelea tu😂😂😂😂😂 Nimecheka Sana
Njoo tufue
Yeah..😀😀..😀😀😀 kufua usiku huu? We endelea tu
Mtaka cha uvunguni sheikh we hayaKuku wangu mwenyewe simshikii manati.
Sharti asubirie tu.Mtaka cha uvunguni sheikh we haya
Nami hapa nasubiria 30mins nikale dakuMtaka cha uvunguni sheikh we haya
Hivi unaweza kujichua wakati umelala na mkeo kitanda kimoja.
Ww unakula cha usiku kama mm tushaambiwa maana hatujalala
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm nimetolea macho kwenye hilo neno menikaza ngoja nitafute miwani yangu na kamusiLaaziza, muhibu liakirami
Pulikiza, nikupe wangu usemi
Menikaza, sipati kunena yomi
Ah hizi tafsiri za waswahili huziwezi tuwaachie wenyeweWw unakula cha usiku kama mm tushaambiwa maana hatujalala