Yani hapa najiona nipo paleeee mji wa karafuy naona watu waghani tu masha sllah masha allah zakumwagaNataraji tuwe sote, hii ni yangu ndoto
Uwe na mimi popote, nikubembeleze ka mtoto
Vizuri nikupe vyote, ili mambo yasiwe shoto.
Imo-Hv huu mtandao bado upo?U kizani, moyo umefitamana
Na imani, viumbe huoneana
Swamahani, sinifanyiye khiyana
Umeniwahi nilitaka nikuulize
sitakufanyia khiyana, ewe wangu mwanandaniU kizani, moyo umefitamana
Na imani, viumbe huoneana
Swamahani, sinifanyiye khiyana
Karibu sana.Yani hapa najiona nipo paleeee mji wa karafuy naona watu waghani tu masha sllah masha allah zakumwaga
Na piga na kitaarab kiduchuuu hatar.
Haliwezi lala eti
Tulia niwaze back up mbna umenipa KOsitakufanyia khiyana, ewe wangu mwanandani
Najua imani huna, kwangu kwako wengine sioni
Ukweli nauweka bayana, haki umenikaa moyoni
šSabah salumu-wapendanao[emoji445]
Enjoy mihogo ikikukaba shushia na ngumi sio pepsiWaungwana wakubwa na wavyele baadae kidogo.
Mama ana sauti mwanana huyu na anazeeka nayo maskini[emoji7]
Kwa utunzi nimebarikiwa, msamiati kuutemaTulia niwaze back up lol mbna umenipa KO
Acha kabisa..sauti mashallahMama ana sauti mwanana huyu na anazeeka nayo maskini
Wala haijachoka
Tutamsajili kwa IMO network atuongezee watejaMama ana sauti mwanana huyu na anazeeka nayo maskini
Wala haijachoka
Halafu ulale saa ngapi tena?Haliwezi lala eti
Nafua mdomdo hadi 11
Silali tena imetoka hiyo
[emoji23][emoji23][emoji119]