Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Mbwa wakianzaga kulia napata uoga
Mbwa wakianzaga kulia napata uoga
Asie jua maana haambiwi maana.
Hizo nyimbo zinanifanyaga nione km nawasindikiza watu hapa duniani ujueHahha
Kuna watu hapo wameenda kudakua hawajarudi
EtiState: California
Married: No
Birthday: August 30
Real name: Benson
Have a crush: Yes
Nickname: Bishop
Favorite Club: Man united Fc
Broken someone's heart: not sure
Course studied: Mishe mishe and
Management
You
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tukigoogle majibu hayata msatisfy tumuache tuTugoogle basi [emoji6]
Me nikiondoka sahii sirudi hadi saa 12
Njoo huku, nifate tafadhali,njoo uchukue stahiko yako.Usiku mwema wapenzi wangu[emoji120]
Ukilala unioteUsiku mwema wapenzi wangu[emoji120]
Wapo lukukiSawa, nikajua niko mimi na wa pilo wewe.
Zawadi yangu kabla sijaondokaAisee huyu mrembo chiqutitta itabidi tuweke kamati ya mtu beh.
Ndo ujue madhara ya kulala peke yako,hao ni mbwa tu je Simba akiungurumia dirishani kwako si utajinyea ww.Mbwa wakianzaga kulia napata uoga
Wakirudi najua mtamalizia lindo bila hiyanaKuna watu hapo wameenda kudakua hawajarudi
Wananiharibia timing zangu.Wapo lukuki
Usijali kesho nitakuja kukuadithiaUkilala uniote
Ndio njoo huku sasa nikupe.Zawadi yangu kabla sijaondoka
Ulale unono ushikilie mto kwa nguvu usikuponyokeUsiku mwema wapenzi wangu[emoji120]