Humu tumebaki mimi na wewe bila shaka, embu angalia upande wako, kama vipi tuondoke na sisi.Usijal
Humu tumebaki mimi na wewe bila shaka, embu angalia upande wako, kama vipi tuondoke na sisi.Usijal
Sio mbaya.Nishakula yes[emoji23]
Nimepata picha.Nyie ndiyo mnatulike Jamani
Hahaha
Bhana bhana mbona mnataka kutoroka?Humu tumebaki mimi na wewe bila shaka, embu angalia upande wako, kama vipi tuondoke na sisi.
Muda tu najipumzisha msos ushuke nimbonji
Picha gani ilo?Nimepata picha.
Huyu wakwangu, hatutoroki bali tunaondoka.
2D ya hiki ulichokiandika.Picha gani ilo?
ila umewahi sana bhana why?Muda tu najioumzisha msos ushuke nimbonji
Hahha
Kuna mdau naona ananipangia kuhusu kuondoka na wewe.Usijal
Nani anayegawa hawa watu maana mm sijapata badoHuyu wakwangu, hatutoroki bali tunaondoka.
Sawa, nikajua niko mimi na wa pili wewe.
Haha lakini hapa social distancing imezingatiwa