Poa.Huyu Mlinzi anaitwa Mjep
Ndiyo
Inategemea na mazingiraHuwa mnatumia njia gani kupata usingizi?
Kula ushibe sana, sisi huwa tunasema "Njaa mwana malegeza na shibe mwanamwalevya" au kama tunavyosema,hiyo ya pili ndio USINGIZI wenyewe sasa.Huwa mnatumia njia gani kupata usingizi?
Sasa hz nyimbo na sie walinzi huoni km unatuonea tu??mwisho wa sikutukumbatie haya mabunduki tufayatue trigger tukufe..Stuck on you [emoji817]
[emoji23] kiporo basi chakula cha usiku saa7ss hv ulale utaamka liniMpaka nilale niamke ndio daku inaliwa, kama umekula daku kabla hujalala na kuamka hicho ni chakula cha usiku.
Pole mwaya nalo hili litapitaUzima mama upo sema tu ndo tia maji tia maji tu maana shamba langu la mapapai limeshajambiwa na mzee imebidi niwaachie ndege tu waleeee mpaka wafe na Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Coincidence ndio nasikiliza hapaStuck on you [emoji817]
MusicHuwa mnatumia njia gani kupata usingizi?
Nimeshakaa sana
Binafsi, nipo kwenye mazingira yenye kumwezesha yeyote kupata usingizi.Inategemea na mazingira
Umeona eeh km WW1&2 zilipita Corona nani mpaka agome kuondoka?Pole mwaya nalo hili litapita