Nimekugusa sio 😂😂😂Haha napenda movie za hivyo mno , kuna moja ya king David na Esther
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio napenda mno hadi sasaNimekugusa sio [emoji23][emoji23][emoji23]
Zamani ndo zilikuwa sehemu za kujulia bible
Habari yako dada. Familia inaendeleaje? Karibu lindoni12:00
Ndio napenda mno hadi sasa
Nakumbuka Atn ilikuwa my favourite channel
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ndio , sikuwa naenda kucheza nje ili muda wa vipindi ukifika niwe stand by .Agape television network ama [emoji23][emoji23]
Salama Kaka..inaendelea vizuri sijui ya kwako.Habari yako dada. Familia inaendeleaje? Karibu lindoni
Hiyo Tv kidogo inigeuze mlokole na hivi dom ilikuwa ni free channel kama kumbukumbu zangu zipo sahihi 😂Hahaha ndio , sikuwa naenda kucheza nje ili muda wa vipindi ukifika niwe stand by .
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Hivi mnajua kuna watu don't give the damn shit with this serious pandemic disease?
Yaani kuna bar jirani na makazi hapa wanapiga mziki na watu wamejazana kama hakuna tishio lolote la kiafya.
Kawimbo katamFrench montana ft Swai Lee - unforgettable [emoji442]
Hivi mnajua kuna watu don't give the damn shit with this serious pandemic disease?
Yaani kuna bar jirani na makazi hapa wanapiga mziki na watu wamejazana kama hakuna tishio lolote la kiafya.
Mungu ni mwema wakati wote. Wako vyemaSalama Kaka..inaendelea vizuri sijui ya kwako.
Ahsante Sana.
Sijui tuseme ni ignorance au kutochukulia kitu serious ...Hivi mnajua kuna watu don't give the damn shit with this serious pandemic disease?
Yaani kuna bar jirani na makazi hapa wanapiga mziki na watu wamejazana kama hakuna tishio lolote la kiafya.