bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Ila nikuulize ka kitu kale kakufuli pale kwa mlango mbona kagumu hakafojiki nimejaribu tufunguo twingi ila wapi hv ni kasolex au aina gani.Kwakweli acha tu niimarishe mbavu zangu
Ahsante Sana
Nipo mkuu wangu ila nalinda kimya kimya
Ah hiyo hatari walinzi wenzio tunaweza fyatua risasi tukijua mvamizi.Karibu kitengoni.Nipo mkuu wangu ila nalinda kimya kimya
Kale ka solex toleo jipya mwanawane hakakubali funguo yoyoteIla nikuulize ka kitu kale kakufuli pale kwa mlango mbona kagumu hakafojiki nimejaribu tufunguo twingi ila wapi hv ni kasolex au aina gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Keahiyo dawa yake ni ipi sasa??Kale ka solex toleo jipya mwanawane hakakubali funguo yoyote
Labda jiwe la fatuma
Mama weee walinzi sie na hii lugha wapi na wapi??A man should hear a little music, read a little poetry, and see a fine picture every day of his life, in order that worldly cares may not obliterate the sense of the beautiful which God has implanted in the human soul.
haujagi au [emoji38][emoji38]Usingizi wangu ni pasua kichwa [emoji17]
Kwani kuna muda mlango unakuwaga wazi niachane na mpango wa kukaharibu nisubirie tu pakifunguliwa?Labda jiwe la fatuma
We km mm yaani nikimuonaga mtu anayepata usingizi bila shida huwa namuona tajiri kinoma.Usingizi wangu ni pasua kichwa [emoji17]
Nimeforce lakini naona ngoma ngumu hauji tuhaujagi au [emoji38][emoji38]
I'm on that good kush and alcohol
Mlinzi wa mjerumani nilipotea na hazina ss nmerudiMama weee walinzi sie na hii lugha wapi na wapi??
Tuoneane huruma kila muda tukimbilie google jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu anaweza lala ukimuamsha akala akimaliza analala tena.We km mm yaani nikimuonaga mtu anayepata usingizi bila shida huwa namuona tajiri kinoma.
Natamani ningekuwa ulaya aisee ningepiga sana night jobs.
Sent using Jamii Forums mobile app