JamiiForums Usiku wa manane

Hapana, Ngoja uone wakiwekwa kwenye mdahalo Biden hawezi kumshinda Trump.
.
Trump ni sawasawa na babaake Banana Zoro sijui kama unamfahamu yani ni mzee ila mambo yake hatari hatari
Hapa kwa mzee wake baba zoro nimekuelewa vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini ngoja tusubirie huo mdahalo.
 
[emoji17][emoji17] Dah
 
No aja tengeneza hii corona bill manguli wote walioshinda lab wanasema huyu kiumbe ajatengenezwa anasifa fulani ambazo anaonekana hajatengenezwa ameanza kwa pangolin kisha akapita kwa popo ndio akaingia kwa binadamu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…