Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ukitangaza huna kazi, dadekiNdio sijui maana nchi yetu unaweza ukawa umeanza umeme wa mgao na msitangaziwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Balaa hilo. Na madaraka yalivyo matamu, nani anataka ku risk kazi yake.
Pole na mimi leo yamenikutaNililala ila Kuna mda usingizi unakata kamaa kwenye saa tisa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina noma, na kwako pia mazee. It was great to chat with you all guys.Daah wajomba ngoja niwakimbie kidogo,muda wa kurudi lindo cz boss hua anapita kukagua kama tuko kweli au tumeenda kupiga Yokozuna.
Gudnight/Afternoon Amigo.
dodge
Haina noma, na kwako pia mazee. It was great to chat with you all guys.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nilikuwa napitia habari za mwamposa maana sikuzipata mapema