Karibu lindoniWakuu nsmimi leo nimeona niliunge lindo hapa.
Walinzi wenzangu wekeni like hapo chini...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu lindoniWakuu nsmimi leo nimeona niliunge lindo hapa.
Walinzi wenzangu wekeni like hapo chini...
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp kuna jipya zaidi umeligundua mkuu?Aisee nilikuwa napitia habari za mwamposa maana sikuzipata mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo naona ndio ingenifaa. Safari ndefu kama hiyo ni bora ya kulala, ukichoka unaangusha kiulaini tu.Yakulala ipo boss
kajojo kwani uko wapi? Kukesha sio kazi ya kitoto ati.5:12 kukesha sio mchezo unaweza anguka kwa kizunguzungu kama sio kihindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jipya nililokigundua ila nilikuwa ndio kwanza nimezipata hizo habari.
Shujaa haombi pooo. Viva kajojo5:12 kukesha sio mchezo unaweza anguka kwa kizunguzungu kama sio kihindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kajojo kukesha ukizoea wala haupati shida sana5:12 kukesha sio mchezo unaweza anguka kwa kizunguzungu kama sio kihindi
Sent using Jamii Forums mobile app