Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Ndio zao, dini zinawapotezea muda. Africa ukiwa huabudu utaambiwa unaenda motoni. Hayo matendo ya wanaoabudu daily ni bora wakaacha huko kuabudu. Hao ndio wazinzi wanga, wezi, mafisadi, n.k.4 yrs hapo coventry nilijionea maisha hayo ya watasha,wao ni kutafuta mpunga tu mwanzo mwisho.
dodge
Sent using Jamii Forums mobile app