JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule mchanganyo wa mayai na viazi sijui nani alikuwa founder kwakweli maana katuletea janga hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu nikipika huku huwa inakuwa ya kwanza kuisha na watu wakataka tena. Chips yai huwa inanitoa sana tukiwa na mashindano ya kupika vyakula vyetu pendwa toka nchini mwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah kiukweli mvumbuzi alitakiwa apongezwe sana maana ametuletea ajira nyingi sana huku mtaani lkn pia ameleta majanga ya wanafunzi kupewa mimba na bodaboda sababu ya chips mayai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule mchanganyo wa mayai na viazi sijui nani alikuwa founder kwakweli maana katuletea janga hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Hahah kiukweli mvumbuzi alitakiwa apongezwe sana maana ametuletea ajira nyingi sana huku mtaani lkn pia ameleta majanga ya wanafunzi kupewa mimba na bodaboda sababu ya chips mayai

dodge
Umesahau na vitambi [emoji23][emoji23][emoji23] mara kukosa nguvu zakiume inaleta in short ni majanga imeleta epe yai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ww utakuwa katibu muenezi utatusaidia kutanua mipaka zaidi ya company huko ulipo kimasoko zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huku kuna maexpert waliobobea kwenye hiyo fani. Tena hufanya bila aibu. Utasikia I'm bored let me go and masturbate.
Screenshot_20200201-170706_Chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kina faida na hasara mkuu. Mi mwenyewe nataka nijichukulie ujiko kwa demu flani nimemualika lunch. Nikamwambia najua kupika kinoma. Nitamtolea chipsi yai dadeki.

Back
Top Bottom