JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Coro Corola, mama Corola Corola..
Embe dodo Embe dodo limelala mchangani. Kwa huba na mazoea uwe wangu wa milele.[emoji443][emoji443][emoji443]
Mwanakwaya... saa hii ulitakiwa kufanya final touches za

Mtakatiiiifu mtakatifu bwana × 2 Mungu wa majeshiiii

Mbingu na nchi zimejaa × 2 , utukufu wako

Hosanaaahhh ohhsanaahh juu mbinguni [emoji4][emoji4]
 
😁😁😁😁😁
Aah no bwana jumamosi jioni ndio mnamaliza rihaso.
Mimi naupenda wimbo wa mwanakondoo wa Mungu, Uondoae dhambi aa Ulimwengu. Utuhurumie.
Kuna jinsi tunaimba haka kawimbo lazima usikie upo mawinguni
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Aah no bwana jumamosi jioni ndio mnamaliza rihaso.
Mimi naupenda wimbo wa mwanakondoo wa Mungu, Uondoae dhambi aa Ulimwengu. Utuhurumie.
Kuna jinsi tunaimba haka kawimbo lazima usikie upo mawinguni
Kiukweli sipo religious ila nyimbo za kwaresma ndo nazipenda hadi leo.. zipo spiritual yaani gospel ikiwa imetulia ndio napenda
 
Back
Top Bottom