Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Inawezekana maana sina data kamili za vijijini na sijui kama kulikuwa na changamoto zozote huko.
Inawezekana maana sina data kamili za vijijini na sijui kama kulikuwa na changamoto zozote huko.
Bado hujasajili?
Inawezekana maana sina data kamili za vijijini na sijui kama kulikuwa na changamoto zozote huko.
Na kwakuwa hii project ni endelevu sidhani kama Serikali wataacha kufungia kesho kwaana watataka kuweka msisitizo kwenye hili jambo.Mkuu sijajua utaratibu wa mahali pengine ila huku kwetu wote tunaelekezwa wilayani kwaio tunajazana huko na ni wengi mno
Hili tatizo.Mm niliongea na mama moja yupo kigoma mjini anasema toka wajaze fomu hawajawhi kabisa kutafutwa kwa ajili ya picha or anything .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa mvivu sana.
Ile foleni pale Goms hapana na hili jua?
Nitaazima tu
Mombasa sikuna ofisi ya NIDA?Nimekuwa mvivu sana.
Ile foleni pale Goms hapana na hili jua?
Nitaazima tu
Amka tu saa kumi na mbili uwe umefika hapo jana yake uwe umeshaenda serikali ya mtaa na vitu vingne
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natakiwa kule GomsMombasa sikuna ofisi ya NIDA?
Foleni la hapo linataka ule ushibe nilipita siku moja nilikuwa naenda kigogo niliona hiyo ofisi mpya ya NIDA hao watu.Mimi natakiwa kule Goms
Sijui ndio Mombasa au la?
Niliendaga kumi na mbili asubuhi kabla hata hawajafungua kufika saa saba nikashindwa....maana foleni hatusogei.Foleni la hapo linataka ule ushibe nilipita siku moja nilikuwa naenda kigogo niliona hiyo ofisi mpya ya NIDA hao watu.
Then plan ni nn sasa maana utakosa mawasiliano kesho kutwa na phone ni kitu muhimu nowdays.Niliendaga kumi na mbili asubuhi kabla hata hawajafungua kufika saa saba nikashindwa....maana foleni hatusogei.
Na vishoka kibao usipokuwa mwangalifu unalizwa.
Then plan ni nn sasa maana utakosa mawasiliano kesho kutwa na phone ni kitu muhimu nowdays.
Huwezi Amini ninakila kitu... nikwenda kuweka foleni tu.
Mpaka pasi mpya nilipata juzi kati....ila Nida nimewavulia kofia.
Aise pole mm nilipatia hapo hapo pia nilienda saa nne nikamaliza saa kumi na moja .
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama ndugu.Habari wakuu
Nilipotea kidogo lindoni hapaSalama ndugu.