Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,085
Totally awful yaani..Doh utapata hiyo laini
This whole NIDA thing is boring sikushangai hata .
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi? Kama tuko mji mmoja kesho nikusajilie lineNo reasons to lie.
Nimepanga nitatafuta mtu hata aniuzie laini au anisaidie kukamilisha kwa hela
Mwisho wa reliUko wapi? Kama tuko mji mmoja kesho nikusajilie line
Njoo The Great mkuukuna habari gani humu ndani? Location wapi?
Kwaheri bibie sijui Kama ntapona daah
Kwani wanafunga leo au kesho saa 5.59 usiku?Zimebaki dk 6 kufungiwa kwa lain zetu.
Mpaka sasa tupo 50 - 50 sio rahisi kuongeza muda.Wanaweza kuongeza siku maana hali ni tete mpk sasa watu wengi bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamata rungu kabisa.Niko lindo na leo kama kawaida
Mpaka sasa tupo 50 - 50 sio rahisi kuongeza muda.
Hongeraa yaani nimekutamani sanaMm nina laini 4 zote zpo registered huku wengine hta hawana nmesajilo mbili kwa watu wengne
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh! Bahati mbayaMwisho wa reli
Leo sindio tarehe 20 amaa?Kwani wanafunga leo au kesho saa 5.59 usiku?
Ni kesho kumbeKwani wanafunga leo au kesho saa 5.59 usiku?
Kwani NIDA vijijini hawapo?