Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,593
- 53,370
Y2k
Y2k
Hehehehe nasubiri utaratibu wa Dr.[emoji23][emoji23][emoji23] kwann au unataka mpaka dr akutundikie drip.
[emoji23][emoji23] zana zajadi lazima uwena kibuyu pembeni.Leo natumia mkuki mkuu silaha za jadi..maana wazee wetu walizitumia vizuri sana kuliko silaha za moto
Ni kweli asee. Ndio maana walishinda vita vya majimaji ajili ya siraha hizoLeo natumia mkuki mkuu silaha za jadi..maana wazee wetu walizitumia vizuri sana kuliko silaha za moto
Leo nitakupa tabu tu [emoji4][emoji4][emoji23][emoji23]we jamaa we endelea tu
Yeeba kumbe wengi wetu hatujafa mwaka jana..basi nichukue fursa hii kuushukuru uongozi wa JF kwa kutuvusha salama kufika tu saudhand end twent (in prof Ndalichekwa's voice)
Ubaya wa mkuki ukirusha umerusha,ukimkosa jizi umemkosa hahahahaha rusha at ur own risk[emoji23][emoji23] zana zajadi lazima uwena kibuyu pembeni.
Nakuona nakuona
Huyo ndio atakuua kabisa atakuandikia 3 drip.
Ni mume wako?Salam kutoka kwa Zurri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo ndio atakuua kabisa atakuandikia 3 drip.
Hakuna silaha naziogopa kama silaha za jadi yani mkuki,mapanga nk hebu angalia game of throne mzee , mtu unakula mshare wa shingo inatokea upande wa piliNi kweli asee. Ndio maana walishinda vita vya majimaji ajili ya siraha hizo
[emoji23][emoji23] unatakiwa uwesniper sana kutumia hiyo dhana.Ubaya wa mkuki ukirusha umerusha,ukimkosa jizi umemkosa hahahahaha rusha at ur own risk
Kihonda kwa chambo?Aurora wa kihonda
Niulize mimi ambae lisasi ya gobole ilinichuna ubavu ikapiga mguu wa babu yangu. Najua uchungu wa risasi..Tena risasi ilikua kipande cha nondoHakuna silaha naziogopa kama silaha za jadi yani mkuki,mapanga nk hebu angalia game of throne mzee , mtu unakula mshare wa shingo inatokea upande wa pili
Imekaa vizuri, endelea kuwakilisha wanawake hata kazi za ulinzi mnawezaaaa 50%=50%Habari ni njema...
Kukuona ni vyema...
Karibu tena