[emoji23][emoji23][emoji23] kwann au unataka mpaka dr akutundikie drip.
Safi mkuu, nafurahi kukuona lindoni mkuu,Gud nipo babu.
Hongera mpendwa.Nimetumikia sana, kuandaa ibada sana, kusoma masomo sana, kuongoza masifu sana so kwangu ni kawaida sana.
Ila kijana aliwanyeshea mvua wote waliomtesa na mumkarimu.Walisadiki badae
Salama tu hali yako dada jiraniHujambo?
Kamata [emoji363] kabisa mkuu.Safi mkuu, nafurahi kukuona lindoni mkuu,
Arosto itakuamsha tena na leoMuwe na usiku mwema nyote/wote.
Asante sana
Nlikua nazingua tu asee wala hata sio teja mimi 😂Arosto itakuamsha tena na leo
Leo natumia mkuki mkuu silaha za jadi..maana wazee wetu walizitumia vizuri sana kuliko silaha za motoKamata [emoji363] kabisa mkuu.
Teja wa mapenzi labdaNlikua nazingua tu asee wala hata sio teja mimi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] matokeo vp?Nilikua nacheki game ya
Inter milan vs atalanta game lilikua lamoto mpira nusu upasuke
Wooooi ongo weNlikua nazingua tu asee wala hata sio teja mimi [emoji23]
Rowin habari yako mrembo, nafurahi kukuona hapa best, lete habari