JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wacha bhana kwahiyo ulikuwa kama king mswati vile.
Mimi napenda ile milio ya vinanda na gitas ndio vtanifanya nisikilize taarabu. Kingine nimekulia kwenye wasichana wengi so tulikua tukicheza mechezo ile ya kufunga ndoa ndio wanaimba nyimbo hizo..so hua nikisikiliza taarabu nakumbuka mambo hayo ya utoto na marafiki niliokua nao wakat huo
 
Back
Top Bottom