JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23] mpenda mipansho Lakini mm kuna kale katarabi ka yule mama anaitwa mwana hawa kama sijakosea ni mzanzibari nyimbo inaitwa njiwa kitup kama hicho ndio naipenda tu hiyo.
Njiwa peleka salamu..Kama ni hiyo aliimba Patricia Hillary wa jkt band

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mpenda mipansho Lakini mm kuna kale katarabi ka yule mama anaitwa mwana hawa kama sijakosea ni mzanzibari nyimbo inaitwa njiwa kitup kama hicho ndio naipenda tu hiyo.
Mimi napenda ile milio ya vinanda na gitas ndio vtanifanya nisikilize taarabu. Kingine nimekulia kwenye wasichana wengi so tulikua tukicheza mechezo ile ya kufunga ndoa ndio wanaimba nyimbo hizo..so hua nikisikiliza taarabu nakumbuka mambo hayo ya utoto na marafiki niliokua nao wakat huo
 
Back
Top Bottom