Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Kusali ni heri, asantekesho siku ya ibada kwa wale wakristu msisahau
Hakika mpendwaKusali ni heri, asante
Aah jibu sasa hapo ndio mtihani mm kuelezea siwezi babu.Shetani ni nini mkuu?
Wadada najuaga taarabu ndio mnapenda sana.
Tulinde tu haina shidaAah jibu sasa hapo ndio mtihani mm kuelezea siwezi babu.
[emoji23][emoji23] taaribu si wadada wote ..ingawa napenda kidogoWadada najuaga taarabu ndio mnapenda sana.
[emoji23][emoji23] mm hapana kwakweli.View attachment 1320252
Belief! Nani ako ready kuwa this extreme juu tu ni imani?
Nakusalimia mimi[emoji55]Naona zilipendwa mmekumbuka Lindo....nawasalimia.
mm huo mziki wa mipasho ndio siuelewagi kabisa bora niruke kisingeli tu.[emoji23][emoji23] taaribu si wadada wote ..ingawa napenda kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusalimia mimi[emoji55]
Hata Mimi sipendi taarabu zenye maudhui ya mipasho.. napenda zile taaarabu za mapenzi na kuelemisha hasa za waimbaji wa Zanzibar..singeli uwiiii siwaelewagi hata.mm huo mziki wa mipasho ndio siuelewagi kabisa bora niruke kisingeli tu.
Majukumu yanabana hadi mtu unasahau passwordAsante...ulitukimbia karibu tena.
Lakini mm kuna kale katarabi ka yule mama anaitwa mwana hawa kama sijakosea ni mzanzibari nyimbo inaitwa njiwa kitup kama hicho ndio naipenda tu hiyo.Mie naependa taarabu mwaniweka kundi lipi. ?