Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Mie saa mbili, huwa watu tunajisahau kwenye masuala hayoNakumbuka sana..kesho saa 4 inanihusu.
Ahsante kwa kutukumbusha
Muda unakimbia bado nadhani ni saa sita kasoroYou mean leo, baadae.
Sambili baridi sana. Nakua nimelalaMie saa mbili, huwa watu tunajisahau kwenye masuala hayo
PamojaAsante, kwa kutukumbusha bibie.
Sent using simu mbovu
and most of us like free stuffIt costs $0.00 to be a kind human being.
Ila ni kutokana na mahala ulipo sie huku haina alfajiri wala hasubui ni joto tuSambili baridi sana. Nakua nimelala
Ikizidi naenda ya watoto saa 5
It's so crazy out here. LadyIla ni kutokana na mahala ulipo sie huku haina alfajiri wala hasubui ni joto tu
Time is a storm in which we are all lost.Muda unakimbia bado nadhani ni saa sita kasoro
Shetani anapenda kuabidiwa tu unazani nani atamwambia mwenzie.Sijawahi kuona watu wakikumbushana kwenda msikitini humu..JF. hasa ijumaa.
#N😵ffence
Yeah? It's okay if you take kindness for free.
Shetani ni nini mkuu?Shetani anapenda kuabidiwa tu unazani nani atamwambia mwenzie.
Aah kumbe na ww mpenda Hip Hop?