Nights is so boring especially this day i was excited with a Day
Karibuni sana. Walinzi00:00hrs
Lindoni rasmi
Karibu00:00hrs
Lindoni rasmi
Happy New year dearLeo nakuwa mlinzi muaminifu nisije nikafukuzwa kazi
Happy new year to you too.
Ahsante mpendwaHappy new year to you too.
Nilikumiss rafiki
Majukumu sana ila kwa sasa nipo free, nitakuwa naingia humu zaidiAhsante mpendwa
Nilikumiss zaidi..ukiamua kupotea wapotea haswa rafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole na majukumu mpendwaMajukumu sana ila kwa sasa nipo free, nitakuwa naingia humu zaidi
Nakumbuka sana..kesho saa 4 inanihusu.kesho siku ya ibada kwa wale wakristu msisahau
Ahsante kwa kunikumbusha mpendwa.kesho siku ya ibada kwa wale wakristu msisahau
You mean leo, baadae.kesho siku ya ibada kwa wale wakristu msisahau
Asante, kwa kutukumbusha bibie.kesho siku ya ibada kwa wale wakristu msisahau