JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha mm nimekaa sana moro watu kuchambana kupelekeana vigoma kawaida sana kuna mwangu alishaletewa na ex wife wake alisema mke azai akamuacha mke wake akapewa mimba na baharia mmoja hv siku ya kujifungua mbona alimfuata mwana na kigoma alafu mbaya mwana alikuwa yupo om kwetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa hayo majanga

Af moro mara nyingi nilikuwa napita tu. Nkadhani mji upo msamvu, nikapakubali kweli ila siku nimekaa kwa muda nkashangaa naona waswahili pasee yaani vitu kama upo dsm [emoji23][emoji23]. Mambo ya vigoma na vigodoro enzi hizo na waluguru wanavyopenda sherehe. Yaani hata kipaimara dogo atasindikizwa na matarumbeta hadi kanisani
 
Ukanda huu wa pwani utawaambia nn watu kuhusu vigoma huku ndio asili yake babu.
 
Kweli QUOTE="Super Villain, post: 34024327, member: 531418"]Acha masihara ww![/QUOTE]Tessa
download (1).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom