simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa brother. Endelea kutuongezea kodiSio tatizo mkuu maana pia ni kinywaji vile vile, hatuwezi kufanana wote mkuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa brother. Endelea kutuongezea kodiSio tatizo mkuu maana pia ni kinywaji vile vile, hatuwezi kufanana wote mkuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Salama KakaPoa. vp bibie?
Hujala vyombo leo mkuuJuu ya bati naskia vishindo kama watu wanakimbizana na mambwa yanalia kama mtoto huko nje usingizi umepotea kabisa kilichobaki nizurure tu huku jamiiforums
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi unipe udhoefu maana enzi hizo story za majinamizi. Siku hizi sijui wamepotelea wapiUngejua usingesema kabisa hivyo vibwanga vimenitokea sana nishazoea sasa.
Super hero gani ndio fav sana kwako?Ila mimi napenda sana maongezi ya Ultron. He's very smart.
Anasema..
This the best i can do! What i want is all of you against all of me..
Mie mzima nashukuruNimepoteaje?
Nipo sana.
Wewe mzima?
[emoji120]Salama Kaka
Mie mzima nashukuru
Siku kama tatu ivi saa tisa wengi wamelikimbia lindo
Nafurahi kusikia hivyo.Kabisa kabisa
Vibwanga vipo asikuambie mtu eti hakuna mm nimekutana navyo sana mzee ni balaa tupu.Itabidi unipe udhoefu maana enzi hizo story za majinamizi. Siku hizi sijui wamepotelea wapi
Nipo hapa karume na kimbiza vibaka tu lindo la leo ni gumu.Nipo salama kabisa
Vipi huko uliko lindo linakwendaje?
Loh sijawahi hata shikwa hivyo [emoji22]
HahahaahaahaahaLoh sijawahi hata shikwa hivyo [emoji22]
Doctor Strange..Super hero gani ndio fav sana kwako?
Hahahaha
Hadi umesema hivyo bhasi uswahilini palikuhusu mkuuVibwanga vipo asikuambie mtu eti hakuna mm nimekutana navyo sana mzee ni balaa tupu.
Hahaha pole,Nipo hapa karume na kimbiza vibaka tu lindo la leo ni gumu.