JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Doctor Strange..
Namkubali sana.. very smart and teaches how the world goes beyond our senses
mm Captain America wallpaper zake zipo nyingi sana kwenye phone yangu na pc
wallpaper-android-captain-america-gudang-wallpaper.jpeg
 
Same applies.. Hivi hadi mkoani ni uswazini au sehemu za hali ya chini maana nshajiuliza sana. Mkoani baadhi ya sehemu unakuta na wanawake wanapigana asee hawajui hata mambo ya vijola wala kusutana
Hahaha mm nimekaa sana moro watu kuchambana kupelekeana vigoma kawaida sana kuna mwangu alishaletewa na ex wife wake alisema mke azai akamuacha mke wake akapewa mimba na baharia mmoja hv siku ya kujifungua mbona alimfuata mwana na kigoma alafu mbaya mwana alikuwa yupo om kwetu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom