Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ni may hapo ndio inatoka mpaka ifike naona ni mbali kweli yaan.
Ni may hapo ndio inatoka mpaka ifike naona ni mbali kweli yaan.
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] sleep poa mkuu. Mimi huwa naapa kulala mapema ila kuna vichwa humu vinanifanya najikuta saa nane hadi tisa
Ishi kiapo chako kaka.[emoji23][emoji23][emoji23] sleep poa mkuu. Mimi huwa naapa kulala mapema ila kuna vichwa humu vinanifanya najikuta saa nane hadi tisa
Ni may hapo ndio inatoka mpaka ifike naona ni mbali kweli yaan.
Angalia ni movie ambazo zinakuwa na story ya imagination zinavutia sana mm huwa napenda story za ajabu kama hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23] unapenda sana kande au unanitania[emoji23][emoji23] pika kande nyingi sana siku hiyo babu.
Napenda movie za hivi basi tu .Hizi movie ujawahi ona [emoji116]View attachment 1315426View attachment 1315427View attachment 1315429
Nitajitahidi brother. Pumzika sasaIshi kiapo chako kaka.
Sent using OPPO Mobile Phone
[emoji23][emoji23][emoji23] natania ila mm masosi sichaguagi babu napiga tu muhimu usiwe na madhara tu kiafya. Kande ule msosi ushibi.[emoji23][emoji23][emoji23] unapenda sana kande au unanitania
Anaitwa Furiosa yule mchumba live live ni mzr hatariSent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuyaelewa makande huwa nakula ikitokea tu[emoji23][emoji23][emoji23] natania ila mm masosi sichaguagi babu napiga tu muhimu usiwe na madhara tu kiafya. Kande ule msosi ushibi.
Sijala mwaka sasa sijayafumania mahali maana kupika yale yanatakiwa fundi ndio utaelewa vzr show.Sijawahi kuyaelewa makande huwa nakula ikitokea tu
Nishakutana na mafundi lakini holaa. Ila itakuwa nature yangu tu mkuu, sio rahisi kuwa impressed na chakulaSijala mwaka sasa sijayafumania mahali maana kupika yale yanatakiwa fundi ndio utaelewa vzr show.
Mm niko naangalia series yangu hapa naona watu washalala.Nishakutana na mafundi lakini holaa. Ila itakuwa nature yangu tu mkuu, sio rahisi kuwa impressed na chakula
Af na usingizi hapa asee bro
Weekday hii mkuu. Hata mimi nimejitahidi [emoji16][emoji16][emoji16]. Endelea kula seriesMm niko naangalia series yangu hapa naona watu washalala.
[emoji23][emoji23][emoji23]Weekday hii mkuu. Hata mimi nimejitahidi [emoji16][emoji16][emoji16]. Endelea kula series
Salama kabisaAsante.
Mzima wewe?
[emoji120] blessedSame to wewe blood