Askari kazi nakusalimia kwa mbalii sijui kama upo bado au umeshasepa lindoniUsingizi overloaded
4:55am nimestuka muda huu wa kujianda kwenye majukumu mengine nje ya lindo nikaona niwasalimu wadau wangu hapa kikosi kazi cha ulinzi
Tutoke tenaNimerudi ....
Tutoke tena
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Af kwanza subiri. Nitakuzamia chimbo huko ili unieleze saa hii vipi na vitu vigumu
Nakunywa fanta orange baridiii. Staki nikujazie nzi mkuu [emoji4][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Karibu viti virefu mkuu tumalizie siku.
Sent using OPPO Mobile Phone
[emoji42]
Sio tatizo mkuu maana pia ni kinywaji vile vile, hatuwezi kufanana wote mkuu.Nakunywa fanta orange baridiii. Staki nikujazie nzi mkuu [emoji4]
Kulikoni jamaniSawa
Kalipe vya watu mkuu[emoji28]Juu ya bati naskia vishindo kama watu wanakimbizana na mambwa yanalia kama mtoto huko nje usingizi umepotea kabisa kilichobaki nizurure tu huku jamiiforums
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] acha uwongo ww.Juu ya bati naskia vishindo kama watu wanakimbizana na mambwa yanalia kama mtoto huko nje usingizi umepotea kabisa kilichobaki nizurure tu huku jamiiforums
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayajawahi kukuta haya mkuu??[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] acha uwongo ww.
Kulikoni jamani