Mtima wangu umekuchagua wewe kwahiyo utakao waita hawatafua dafu kwako.[emoji848]leo sijui niwaite wadada wazUri waje wanisaidie
Ndege wafananao ndio huruka pamoko,mimi dume na wewe jike,nahisi tunafanana,acha turuke pamoko.
Mtima wangu umekuchagua wewe kwahiyo utakao waita hawatafua dafu kwako.[emoji848]leo sijui niwaite wadada wazUri waje wanisaidie
Haya mzee [emoji4][emoji4][emoji4]Hilo naomba unijibu PM. Hapa Goddess atapata sababu
Nitakurima vibaoEe sindio code zako upo romantic sasa mm nitapitia wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mwema kwako pia.Nami pia napotea.
Ulale salama
Mimi mpole na sipo hivyo.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] makaka wapole siku wakikutolea uvivu utanangwa mpaka uone dunia imesimama
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ni mdogo wako basi wote hatiani kwa kesi ya mauwaji!
Kwani baba yako ndio anaondoka na ww tu?Wee kwani mm nna babaangu yupo humu au?!
Nmechagua kunyoa[emoji38] sitaki kusuka mmGoddess maliza ugomvi, chagua mmoja
Embu jaribu [emoji38][emoji38][emoji38]Nitakurima vibao
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unajimwambafai [emoji119]Mimi mpole na sipo hivyo.
Good girl..Poa usijali ukikaribia niambie ss hv mapema sana japo nitazidownload nascreen shot kabisaa nisisahau
Nakusikiliza,sema chochote "Mrembo wa Kani".
Kwann! wakati ni clear muder case?Hakimu anakazi yakutoa hukumu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umenichekesha kinoma night hii.Hili lindo la leo ni tafrani na tukifanya mchezo kibarua kitaota nyasi naona warembo wamekuwa wengi mno lio.
Ukisikia walinzi tunatoa boko,ndio leo.
Mimi mpole hommie au huamini. Subiri siku ukiniona HUTAAMINI[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unajimwambafai [emoji119]
Nani anaweza bwana wee nikiona fremch fries na kitu cha breast navurugika[emoji38]Mambo ya diet, ukiona extra flesh unapagawa. Hilo life hapana aisee [emoji16][emoji16]
Mimi mpole hommie au huamini. Subiri siku ukiniona HUTAAMINI
Weweee hautakula banana tena ww hayaAnamalizia kung'ata lips na kucha. Hapa moyo wake haujatulia maana propasal zimekuja usiku usiku