Nashukuru sana ila usiwe shahidi wakati wa mauaji dada mzuriNjoo uchukue
Nyama ya binadamu ina chumvi nyingi sintaeza kukukula sina asili ya uchawi mm[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] unile na nyama kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] tutaona...Weweee hautakula banana tena ww haya
Mwambie aache mbwembweMbona unamsemea[emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo binadamu unamfananisha na kibua au wale samaki wa majichumvu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji119]Nyama ya binadamu ina chumvi nyingi sintaeza kukukula sina asili ya uchawi mm[emoji38]
Nasubiri umalize kuandaa zana za mpangoKumbe muelewa sana mrembo. Najipanga sasa.
Ahh kumbe mnajuana ila mnatuchangamsha tu hapa [emoji23][emoji23]..hujasika huyo bibie akisema kuwa hiyo character kuwa mm ninayo pia ajasema uwongo kabisa.
Same here [emoji38]mapemaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] natulia maana muda wa kuangusha gari unakaribia.
Zimekamilika tayari,nakulia timing tu,niruke na wewe.Nasubiri umalize kuandaa zana za mpango
Aah mm nilistopisha kuangalia series yangu naweza switch huko tena. But usiku mwema nawe pia dude.Ahh kumbe mnajuana ila mnatuchangamsha tu hapa [emoji23][emoji23]..
By the way nahisi usingizi saa hii, ngoja niwaage in advance
[emoji7][emoji7]wenye wivu wajinyonge hachomoki mtu hapaMtima wangu umekuchagua wewe kwahiyo utakao waita hawatafua dafu kwako.
Ndege wafananao ndio huruka pamoko,mimi dume na wewe jike,nahisi tunafanana,acha turuke pamoko.
Dah kila nikiona hiyo ID yako namkumbuka shemeji yangu [emoji4]0126
Wewee[emoji38] kama haupo hicyo utakula zawadi nyingine tena unajua ni ipi?!Mimi mpole na sipo hivyo.
Baba yangu ndo kakupa ruhusa ya kuondoka na mm labda [emoji38]kumbe haujaelewa swaliKwani baba yako ndio anaondoka na ww tu?
[emoji7][emoji7]wenye wivu wajinyonge hachomoki mtu hapa
Walinzi tumelewa yokozuna + mnaziHili lindo la leo ni tafrani na tukifanya mchezo kibarua kitaota nyasi naona warembo wamekuwa wengi mno lio.
Ukisikia walinzi tunatoa boko,ndio leo.
Hahaha ndio mimi shemeji yakoDah kila nikiona hiyo ID yako namkumbuka shemeji yangu [emoji4]
UsiwazeGood girl..
Nakuaminia