ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
"When the women begin to take an active part in the struggle, no power on earth can stop us from achieving freedom in our lifetime"
Brother una lugha ngumu. KIMSEGEMNEKE ndio nini ??... usije mtongoza mtu kwa lugha asiyoilewa
[emoji38] nyie bwana msije leteana utani wa ngumi tu wakugombaniwa hayupo hapa
Ee sindio code zako upo romantic sasa mm nitapitia wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]mambo yakikurya sio
Ananirudisha kwenye vishazi vihisishi sio mchezo. Ila kiswahili umsikie mtu wa pwani anakiongea, utakipenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilamtu na code zake.
[emoji38] fanta orange kubwa sana kuna wale wakunywa maji tu hawataki sugar[emoji16][emoji16] mimi nakunywaga fanta orange tu. Hizi vitu inabidi uwe stable, sio ukae kindezi af mwisho wa siku unajikuta ward
Hivi ulisema hutaki competition au? 😁
Sawa tuu tulinde maana mchana na usiku hali kadhalikakujipoza home hapa ni kutimiza majukumu. Tunalinda.
Waaai jiandae kula chambo la samaki
Kiswahili mm nawezea wapi mm ni muharibifu wa lugha tu.Ananirudisha kwenye vishazi vihisishi sio mchezo. Ila kiswahili umsikie mtu wa pwani anakiongea, utakipenda
Nawe pia..Heri ya mwaka mpya wapendwa
Heri ya mwaka mpya wapendwa
The Madame Herself.
17th is loading.
Nawe pia be blessed [emoji120]Heri ya mwaka mpya wapendwa
Na kwako pia mkuu
Mambo ya diet, ukiona extra flesh unapagawa. Hilo life hapana aisee [emoji16][emoji16][emoji38] fanta orange kubwa sana kuna wale wakunywa maji tu hawataki sugar
Nawe pia be blessed [emoji120]
😂😂Competition haina shida, as long as kila mtu anatumia swaga zake.