Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Sawa mkuu, pamoja sana.
Ila kuna new entrants, hapa napambana niwekeze mahali.
Naona leo mrembo wangu hajaingia zamu, akija nitaomba unipange naye geti la kule nyuma.
Sawa mkuu, pamoja sana.
Tulia nitongoze mdogo ako[emoji38] nikupige nikuue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww ndio umeyeyusha njoo basi ni seriously issue achana na hizo shit hapo juu.
I'm here kama umenimiss.Nmekumiss halafu unanitolea mbavuni hv fresh tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama tupo umasain bila ngozi ya [emoji197] au simba hupati mke.Ukame mbaya sana
UnawezaTulia nitongoze mdogo ako[emoji38] nikupige nikuue
Hahaha sawa usihofu, itabidi iwe hivyo. Au tuwatume dukani mkanunue supplies za lindo usiku.Ila kuna new entrants, hapa napambana niwekeze mahali.
Naona leo mrembo wangu hajaingia zamu, akija nitaomba unipange naye geti la kule nyuma.
Ngoja nikupe kazi..Nakwambia hv subiri utakula urudi tena na tena
Itakuwa hiyo menu si mchezoo hadi uvivu wangu wa kula utaisha. Nitakuja [emoji1][emoji1]Nakwambia hv subiri utakula urudi tena na tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilamtu na code zake.Brother una lugha ngumu. KIMSEGEMNEKE ndio nini ??... usije mtongoza mtu kwa lugha asiyoilewa
Af mbona kama umefanya maamuzi hapa au unamtumia ili kuamisha magoli. Rudi katika reliNmekumiss halafu unanitolea mbavuni hv fresh tuu
Hahaha sawa usihofu, itabidi iwe hivyo. Au tuwatume dukani mkanunue supplies za lindo usiku.
[emoji38]mambo yakikurya sioHuyu yy ndio hv anataka sweet words huwezi ng'oa huyu mchumba maana yy ni ganster hivi hivi ndio tunaelewana.
Kazi ishaisha mbona hapa ni uji kwa mgonjwa tu hamna mpya [emoji4]Mzee mimi sijagombania na mtu, usilete kisingizio cha kushindwa.
Pambana Naye
Nimeamini kweli jinsia yenu mnapenda bad boy. Kwa hiyo kaka mpole mpole unamuona hana maajabu. Em acha hizo bhasi [emoji16][emoji16]Huyu kaka mpole anazingua tu mumvumilie
Hivi ulisema hutaki competition au? 😁Nimeshaona like yake.
Tutume bro.
[emoji38] nyie bwana msije leteana utani wa ngumi tu wakugombaniwa hayupo hapaMzee mimi sijagombania na mtu, usilete kisingizio cha kushindwa.
Pambana Naye
[emoji23][emoji23][emoji23] tulia nishawepa ruhusa niondoke nawe.Huyu kaka mpole anazingua tu mumvumilie
Aah kunawatu wanaishi vzr jamani [emoji91][emoji91][emoji91][emoji119]
Waaai jiandae kula chambo la samakiWoooi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kinawaka