Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Huyo ndege wangu wala hata siangaiki.Ushafeli
Huyo ndege wangu wala hata siangaiki.Ushafeli
Kiranja mkuu nimerudi, au nafasi ilishapata mrithi? Naomba muongozo 😂
Mwanamke anatongozwa sirini sio hadharani na sisi tunashuhudia,lazima atajitutumua tu.,hawa wanabananishwa huko sirini mpaka wanapatwa na kwikwi.Mwambie ashushe mistari hapa hapa
Hii ndio starehe yetu hatuwezi kuishi bila kusoma vitabu.
Unanitania [emoji23][emoji23][emoji23]. Ngoja nijiweke sawa kwa suprise[emoji38]hujui eeeh utajua skuhyo utakuta kitu cha tuna, spinach ,nyanya,hoho,karoti, baked 5mnts mixer viungo na parachichi hapo unakula huku unajitukana[emoji38]
Mwanamke anatongozwa sirini sio hadharani na sisi tunashuhudia,lazima atajitutumua tu.,hawa wanabananishwa huko sirini mpaka wanapatwa na kwikwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww ndio umeyeyusha njoo basi ni seriously issue achana na hizo shit hapo juu.Bwana weeeh mm sishibi swaga njoo hata na ka nyama ½ kilo bwana
Utajua hujui[emoji38]
Kiranja mkuu nimerudi, au nafasi ilishapata mrithi? Naomba muongozo 😂
Can't believe Lord payter baelish ndio Mchezeshaji wa matukio yote...
Never underestimate anyone
Eeh sikubali kupinduliwa. Wadau wengi sijawaona humu akina toxic, bbade n.k au ndio ID zimebadilika?Hahaha, unaanzia ulipoishia au siyo?
Itifaki izingatiwe,tuko kazini tena tunalinda,sehemu ambayo "One mistake one bao",naona watu wanataka kutongozana humu.
Namuachia don mm kugombana naweza basi mzee.Wanaume wengi mnapambania mabinti wawili..
Kwani ukame umefika hatua hiyo
Nitashukuru nitakupa zawad ya kuchagua kati ya beet detox soup[emoji38] au asparagus au asparagus and spinach detox soup[emoji39]Nitafanya hivyo best lady
Hapana ndugu mlinzi hujakosea lindo liendeleeHaijapatq mrithi,ila itifaki isipozingatiwa,ndio tunakumbushana kwa mtindo huu,au nakosea ?
Hata mm nasubiri ajitoe akili naona anajizuia ngoja nimwambieMwambie ashushe mistari hapa hapa
Acha tu naona anaelekea kuniudhi sasa..Little finger ni mnafiki mkubwa sijawahi kuona.
[emoji38][emoji38][emoji38]usikuu huu jaman walinzi tunajipooza wapi kaka mzuriItifaki izingatiwe,tuko kazini tena tunalinda,sehemu ambayo "One mistake one bao",naona watu wanataka kutongozana humu.
Ww ebu nipe vocal kali zaidi ya ile ya ed shehran uwaache midomo wazi[emoji23][emoji23][emoji23] chember ndio kuzuri one against one hapa mtavuruga vocal na comment zenu.