Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Huyu yy ndio hv anataka sweet words huwezi ng'oa huyu mchumba maana yy ni ganster hivi hivi ndio tunaelewana.Usiwaze mkuu lakini uwanja leo naona umechangamka .. Goddess usimkazie hivyo brother [emoji23][emoji23]
Hili tukikua tunalifanya mm na jamaa anaitwa Iceman 3D kwa mdada Dark Angel miaka ya 2017. Tukikua tunapigana exile kwenye huu uziNamuachia don mm kugombana naweza basi mzee.
[emoji38]unakunywa whisky leo unanuka kesho[emoji23][emoji23]
Brother anajielewa si umeona counter ina varieties kibao
Af kwanza subiri. Nitakuzamia chimbo huko ili unieleze saa hii vipi na vitu vigumuHaziwezi ungua mkuu[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Kaka mzuri[emoji38]Ndio maana tunaingia mida tofauti,hii ni kuonyesha ya kuwa tuna pumzika sana tu.
Hapa sasa ndio kuna gagaiko "kaka mzuri" umemaanisha nini au ulikusudia kuandika "kaka Zurri" ?
Uniambie nn [emoji23][emoji23][emoji23]Hata mm nasubiri ajitoe akili naona anajizuia ngoja nimwambie
Kwani katokea chugga au.. maana gang love kwa chugga ndo kwaoHuyu yy ndio hv anataka sweet words huwezi ng'oa huyu mchumba maana yy ni ganster hivi hivi ndio tunaelewana.
Namuachia don mm kugombana naweza basi mzee.
Wanaume wengi mnapambania mabinti wawili..
Kwani ukame umefika hatua hiyo
Nmekumiss halafu unanitolea mbavuni hv fresh tuuWanaume wengi mnapambania mabinti wawili..
Kwani ukame umefika hatua hiyo
Woooi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kinawakaHili tukikua tunalifanya mm na jamaa anaitwa Iceman 3D kwa mdada Dark Angel miaka ya 2017. Tukikua tunapigana exile kwenye huu uzi
Aah kunawatu wanaishi vzr jamani [emoji91][emoji91][emoji91][emoji119]
[emoji16][emoji16] mimi nakunywaga fanta orange tu. Hizi vitu inabidi uwe stable, sio ukae kindezi af mwisho wa siku unajikuta ward[emoji38]unakunywa whisky leo unanuka kesho
[emoji38][emoji38][emoji38]usikuu huu jaman walinzi tunajipooza wapi kaka mzuri
Acha tu naona anaelekea kuniudhi sasa..
Mie nilijua Tywin lennisters ndio atakua mistermind kumbe...
Little finger anajua kuchanga karata vizuri
Nakwambia hv subiri utakula urudi tena na tenaUnanitania [emoji23][emoji23][emoji23]. Ngoja nijiweke sawa kwa suprise
Kaka mzuri[emoji38]