Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Nikutongoze typing error hiyo kausha zangu unaziona tu zako huruki nazo?Tingoze ndo nn
Nikutongoze typing error hiyo kausha zangu unaziona tu zako huruki nazo?Tingoze ndo nn
Miss u more muwe mnaniita huku nachelewa sana kufikaJana sikuingia ila leo najitahidi mapema tu.. miss ya Goddess [emoji4][emoji4][emoji4]
Siku ni siku tu mkuu, kuna tatizo kwani?Kwa 7babu sijaona maana ya hii picha hapa kwamba ww unakunywa mpaka weekdayz?!
Chezea mshahara sio kazi.Siku moja moja walinzi tuwe tunapumzika jaman
Haziwezi ungua mkuu[emoji28]Mkuu utaunguza figo
Kuna time inabidi usikaze sana ubongo. Sometimes unaangalia na vitu rahisi
By the way kuna swali nimekuuliza hujanijibu
Vitabu hazina kubwa sana.Mara nyingi nasoma vitabu viwili kwa pamoja,kila kitabu muda wake.
Kwa mfano mchana nasoma vitabu vya professional au vya kujijenga,usimu kama hivi nasoma kama hivyo vya Mandela ambavyo akili haitumiki sana.
Kigamboni pale veg restro patatufaa[emoji39] ma brocoli kama yote mixer veggie detox[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] DSM second home lakini. Af mimi napenda mboga za majani, nitakualika siku moja tuwe kama vegeterians
Itabidi nianze kujifunza jinsi ya kugawa concentration yangu maana ni mtihani. Hongera mkuuMara nyingi nasoma vitabu viwili kwa pamoja,kila kitabu muda wake.
Kwa mfano mchana nasoma vitabu vya professional au vya kujijenga,usimu kama hivi nasoma kama hivyo vya Mandela ambavyo akili haitumiki sana.
I don't know where she is? Atakua kitaa gani anaroll huko mtafute sasa?Sometimes its better to be spectator rather than a commentator! Somebody Mishil passes round here where is she?!
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Vitabu hazina kubwa sana.
Walahi sio nakuja nimejipanga kwa majina matammatam af nakuja kukuta ni shake ya spinach. Utanieleza hahaaaaaKigamboni pale veg restro patatufaa[emoji39] ma brocoli kama yote mixer veggie detox[emoji38]
Itabidi nianze kujifunza jinsi ya kugawa concentration yangu maana ni mtihani. Hongera mkuu
Nipo ujenikupe deals sawa.Nitahamia huko maana sipo mbali mkuu. Unipe ukaribisho mapemaaaa
Umeshanijibu ila ulikawia kidogo kureplyMaswali gani mkuu
Muache akaushe maini[emoji38]Mkuu utaunguza figo
Sana Mkuu
Aah babu utaweza?!Nikutongoze typing error hiyo kausha zangu unaziona tu zako huruki nazo?
Mi sijui kwa kweli m mgeni hapo[emoji6]Siku ni siku tu mkuu, kuna tatizo kwani?
Sent using OPPO Mobile Phone